إِنَّهُۥ يَعۡلَمُ ٱلۡجَهۡرَ مِنَ ٱلۡقَوۡلِ وَيَعۡلَمُ مَا تَكۡتُمُونَ ١١٠
Innahū ya'lamul-jahra minal-qawli waya'lamu mā taktumūn
Hakika Yeye anajua kauli ya dhaahiri na anajua myafichayo. 110
Maelezo ya chini
110 Hakika Mwenyezi Mungu anayajua yote yasemwayo, mnayo yadhihirisha na mnayo yaficha.