Surat Al-Anbiya, aya 111

21:111

وَإِنۡ أَدۡرِي لَعَلَّهُۥ فِتۡنَةٞ لَّكُمۡ وَمَتَٰعٌ إِلَىٰ حِينٖ ١١١

Wa in adrī la'allahū fitnatul lakum wamatā'un ilā hīn

Wala sijui pengine huu ni mtihani tu kwenu na starehe mpaka muda kidogo. 111

Maelezo ya chini

111 Na sijui pengine huko kupewa muhula na kuakhirishiwa adhabu nyinyi ndio Mwenyezi Mungu anakufanyieni mtihani tu, na kukustarehesheni kwa ladha za maisha mpaka alipo kadiria Mwenyezi Mungu kukuhisabieni kwa hikima yake.