قَدۡ نَعۡلَمُ إِنَّهُۥ لَيَحۡزُنُكَ ٱلَّذِي يَقُولُونَۖ فَإِنَّهُمۡ لَا يُكَذِّبُونَكَ وَلَٰكِنَّ ٱلظَّٰلِمِينَ بِـَٔايَٰتِ ٱللَّهِ يَجۡحَدُونَ ٣٣
Qad na'lamu innahū layahzunukal-ladhī yaqūlūna fa innahum lā yukaddhibūnaka walākinnaz-zālimīna bi'āyātillāhi yajhadūn
Tunajua ya kwamba yanakuhuzunisha wanayo yasema. Basi hakika wao hawakukanushi wewe, lakini hao madhaalimu wanazikataa Ishara za Mwenyezi Mungu. 33
Maelezo ya chini
33 Ewe Nabii! Sisi tunajua kuwa yanakuhuzunisha haya wayasemayo makafiri ili kukukadhibisha. Basi wewe usihuzunike kwa hayo. Kwani hakika wao hawakutuhumu wewe kuwa ni mwongo, walakini wao kwa kujidhulumu nafsi zao na kuidhulumu haki, wanashindana kwa inda, na wanazikanya kwa ndimi zao dalili za ukweli wako, na alama za Unabii wako.