سَنُقۡرِئُكَ فَلَا تَنسَىٰٓ ٦
Sanuqri'uka falā tansā
Tutakusomesha wala hutasahau! 6
Maelezo ya chini
6 Ewe Muhammad! Sisi tutakujaalia uwe ni mwenye kuisoma Qur'ani kwa ufunuo kutoka kwetu, na wala hutosahau utacho kihifadhi.