Surat Al-A'la, aya 4

87:4

وَٱلَّذِيٓ أَخۡرَجَ ٱلۡمَرۡعَىٰ ٤

Walladhī akhrajal-mar'ā

Na aliye otesha malisho! 4

Maelezo ya chini

4 Na ambaye akatoa kwenye ardhi mimea namna mbali mbali ya kuwalisha wanyama.