Surat Al-Ahzab, aya 65

33:65

خَٰلِدِينَ فِيهَآ أَبَدٗاۖ لَّا يَجِدُونَ وَلِيّٗا وَلَا نَصِيرٗا ٦٥

Khālidīna fīhā abadal lā yajidūna waliyyan walā nasīrā

Watadumu humo milele. Hawampati mlinzi wala wa kuwanusuru. 65

Maelezo ya chini

65 Hawatatoka humo kabisa. Hawatampata wa kuchukua dhamana ya kuwahami, wala wa kuwatetea.