وَسَبِّحُوهُ بُكۡرَةٗ وَأَصِيلًا ٤٢
Wasabbihūhu bukratan wa asīlā
Na mtakaseni asubuhi na jioni. 42
Maelezo ya chini
42 Enyi ambao mmeamini! Msifuni Mwenyezi Mungu kwa namna mbali mbali za sifa, na mfanye hayo kwa wingi. Na mtakaseni na kila kisicho kuwa laiki naye mwanzo wa mchana na mwisho wake.