Surat Adh-Dhariyat, aya 6

51:6

وَإِنَّ ٱلدِّينَ لَوَٰقِعٞ ٦

Wa innad-dīna lawāqi'

Na kwa hakika malipo bila ya shaka yatatokea. 6

Maelezo ya chini

6 Na kwamba kwa yakini malipo kwa vitendo vyenu yatakuwa tu hapana hivi wala hivi.