Surat Adh-Dhariyat, aya 38

51:38

وَفِي مُوسَىٰٓ إِذۡ أَرۡسَلۡنَٰهُ إِلَىٰ فِرۡعَوۡنَ بِسُلۡطَٰنٖ مُّبِينٖ ٣٨

Wafī mūsā idh arsalnāhu ilā fir'awna bisultānim mubīn

Na katika khabari za Musa, tulipo mtuma kwa Firauni na hoja wazi. 38

Maelezo ya chini

38 Na katika kisa cha Musa yapo mawaidha. Tulipo mtuma kwa Firauni, na tukatilia nguvu kwa kumpa ushahidi ulio wazi.