Surat Adh-Dhariyat, aya 37

51:37

وَتَرَكۡنَا فِيهَآ ءَايَةٗ لِّلَّذِينَ يَخَافُونَ ٱلۡعَذَابَ ٱلۡأَلِيمَ ٣٧

Wataraknā fīhā āyatal lilladhīna yakhāfūnal-'adhābal-alīm

Na tukaacha humo Ishara kwa ajili ya wanao iogopa adhabu chungu. 37

Maelezo ya chini

37 Na katika mji huo tumeacha alama ya maangamizo ya watu wake, ili wapate kuzingatia wanayo ikhofu adhabu chungu.