Surat Adh-Dhariyat, aya 27

51:27

فَقَرَّبَهُۥٓ إِلَيۡهِمۡ قَالَ أَلَا تَأۡكُلُونَ ٢٧

Faqarrabahū ilayhim qāla alā ta'kulūn

Akawakaribisha, akasema: Mbona hamli? 27

Maelezo ya chini

27 Akawakaribisha, nao hawakula. Akasema kwa kuto wajua hakika yao: Mbona hamli?