كَانُواْ قَلِيلٗا مِّنَ ٱلَّيۡلِ مَا يَهۡجَعُونَ ١٧
Kānū qalīlam minal-layli mā yahja'ūn
Walikuwa wakilala kidogo tu usiku. 17
Maelezo ya chini
17 Walikuwa kulala kwao usiku ni kuchache, na wakikesha sana kwa ibada.
كَانُواْ قَلِيلٗا مِّنَ ٱلَّيۡلِ مَا يَهۡجَعُونَ ١٧
Kānū qalīlam minal-layli mā yahja'ūn
Walikuwa wakilala kidogo tu usiku. 17
17 Walikuwa kulala kwao usiku ni kuchache, na wakikesha sana kwa ibada.