Surat Ad-Dukhan, aya 5

44:5

أَمۡرٗا مِّنۡ عِندِنَآۚ إِنَّا كُنَّا مُرۡسِلِينَ ٥

Amram min 'indinā innā kunnā mursilīn

Jambo litokalo kwetu. Hakika Sisi ndio wenye kutuma. 5

Maelezo ya chini

5 Nakusudia kwa jambo hili, yaani jambo kuu lenye kutoka kwetu kama ilivyo kwisha pita hukumu ya mpango wetu. Kwani ni shani yetu kutuma Mitume kwa Vitabu ili kuwafikishia waja wetu.