Surat Ad-Dukhan, aya 31

44:31

مِن فِرۡعَوۡنَۚ إِنَّهُۥ كَانَ عَالِيٗا مِّنَ ٱلۡمُسۡرِفِينَ ٣١

Min fir'awna innahū kāna 'āliyam minal-musrifīn

Ya Firauni. Hakika yeye alikuwa jeuri katika wenye kupindukia mipaka. 31

Maelezo ya chini

31 Aliwaokoa kwa Firauni. Hakika Firauni alikuwa jeuri kwa watu wake, amepita mipaka kwa shari na uasi.