Surat Ad-Dukhan, aya 30

44:30

وَلَقَدۡ نَجَّيۡنَا بَنِيٓ إِسۡرَٰٓءِيلَ مِنَ ٱلۡعَذَابِ ٱلۡمُهِينِ ٣٠

Walaqad najjaynā banī isrā'īla minal-'adhābil-muhīn

Na bila ya shaka tuliwaokoa Wana wa Israili katika adhabu ya kuwadhalilisha, 30

Maelezo ya chini

30 Na kwa hakika Mwenyezi Mungu aliwaokoa Wana wa Israili na adhabu ya kuwadhalilisha.