وَنَعۡمَةٖ كَانُواْ فِيهَا فَٰكِهِينَ ٢٧
Wana'matin kānū fīhā fākihīn
Na neema walizo kuwa wakijistareheshea! 27
Maelezo ya chini
27 Na maisha ya raha na starehe, waliyo kuwa wakiyaonea utamu.