Surat 'Abasa, aya 42

80:42

أُوْلَٰٓئِكَ هُمُ ٱلۡكَفَرَةُ ٱلۡفَجَرَةُ ٤٢

Ulā'ika humul-kafaratul-fajarah

Hao ndio makafiri watenda maovu 42

Maelezo ya chini

42 Wenye nyuso hizi ni makafiri wapotovu, ambao walio kuwa hawabali maasi waliyo kuwa wakiyatenda.