Surat 'Abasa, aya 40

80:40

وَوُجُوهٞ يَوۡمَئِذٍ عَلَيۡهَا غَبَرَةٞ ٤٠

Wawujūhun yawma'idhin 'alayhā ghabarah

Na nyuso siku hiyo zitakuwa na mavumbi, 40

Maelezo ya chini

40 Na nyuso nyengine siku hii zina vumbi zimesawijika.