لِكُلِّ ٱمۡرِيٕٖ مِّنۡهُمۡ يَوۡمَئِذٖ شَأۡنٞ يُغۡنِيهِ ٣٧
Likullimriy'im minhum yawma'idhin sha'nun yughnīh
Kila mtu miongoni mwao siku hiyo atakuwa na lake la kumtosha 37
Maelezo ya chini
37 Kila mmojapo katika hawa atakuwa na jambo lake la kumshughulisha!