Surat 'Abasa, aya 32

80:32

مَّتَٰعٗا لَّكُمۡ وَلِأَنۡعَٰمِكُمۡ ٣٢

Mmatā'al lakum wali'an'āmikum

Kwa manufaa yenu na mifugo yenu. 32

Maelezo ya chini

32 Tumeotesha yote hayo kwa ajili ya faida yenu na wanyama wenu wa kufuga.