Surat 'Abasa, aya 27

80:27

فَأَنۢبَتۡنَا فِيهَا حَبّٗا ٢٧

Fa ambatnā fīhā habbā

Kisha tukaotesha humo nafaka, 27

Maelezo ya chini

27 Tukaotesha humo nafaka ambazo watu huzila na huweka akiba.