Surat Yusuf, aya 57

12:57

وَلَأَجۡرُ ٱلۡأٓخِرَةِ خَيۡرٞ لِّلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَكَانُواْ يَتَّقُونَ ٥٧

Wala'ajrul-ākhirati khayrul lilladhīna āmanū wakānū yattaqūn

Na hakika malipo ya Akhera ni bora zaidi, kwa walio amini na wakawa wachamungu. 57

Maelezo ya chini

57 Na malipo yao ya Akhera ni bora zaidi na yanalingana zaidi na hao wanao msadiki Yeye na Mitume wake, na ikawa wanaingojea Siku ya Hisabu na wanaikhofu.