ثُمَّ يَأۡتِي مِنۢ بَعۡدِ ذَٰلِكَ سَبۡعٞ شِدَادٞ يَأۡكُلۡنَ مَا قَدَّمۡتُمۡ لَهُنَّ إِلَّا قَلِيلٗا مِّمَّا تُحۡصِنُونَ ٤٨
Thumma ya'tī mim ba'di dhālika sab'un shidādun ya'kulna mā qaddamtum lahunna illā qalīlam mimmā tuhsinūn
Kisha itakuja baadaye miaka saba ya shida itakayo kula kile mlicho iwekea isipo kuwa kidogo mtacho kihifadhi. 48
Maelezo ya chini
48 Kisha baada ya miaka hii ya neema itakuja saba ya ukame. Mtakula kile mlicho weka akiba, isipo kuwa kidogo mtacho kificha na kukihifadhi, ili kiwe mbegu ya kupandia baadae