وَإِن كَانَ قَمِيصُهُۥ قُدَّ مِن دُبُرٖ فَكَذَبَتۡ وَهُوَ مِنَ ٱلصَّٰدِقِينَ ٢٧
Wa in kāna qamīsuhū qudda min duburin fakadhabat wahuwa minas-sādiqīn
Na ikiwa kanzu yake imechanwa nyuma, basi mwanamke amesema uwongo, naye Yusuf ni katika wakweli. 27
Maelezo ya chini
27 Na ikiwa kanzu yake imechanwa nyuma, basi huyu mwanamke kasema uwongo, na kijana ni mkweli kwa aliyo yasema.