Surat Yunus, aya 97

10:97

وَلَوۡ جَآءَتۡهُمۡ كُلُّ ءَايَةٍ حَتَّىٰ يَرَوُاْ ٱلۡعَذَابَ ٱلۡأَلِيمَ ٩٧

Walaw jā'athum kullu āyatin hattā yarawul-'adhābal-alīm

Ijapo kuwa itawajia kila Ishara, mpaka waione adhabu iliyo chungu. 97

Maelezo ya chini

97 Na ukiwajia na kila hoja, na iwe wazi vipi, hawakinaiki. Wataendelea tu na upotovu wao mpaka wamalizikie kupata adhabu chungu.