Surat Yunus, aya 95

10:95

وَلَا تَكُونَنَّ مِنَ ٱلَّذِينَ كَذَّبُواْ بِـَٔايَٰتِ ٱللَّهِ فَتَكُونَ مِنَ ٱلۡخَٰسِرِينَ ٩٥

Walā takūnanna minal-ladhīna kaddhabū bi'āyātillāhi fatakūna minal-khāsirīn

Na kabisa usiwe miongoni mwa wale wanao zikanusha Ishara za Mwenyezi Mungu, usije kuwa katika walio khasiri. 95

Maelezo ya chini

95 Wala usiwe wewe, wala yeyote katika wanao kufuata, miongoni mwa wanao kadhibisha hoja na Ishara zilio wazi, msije mkaingia khasarani na ghadhabuni, kama hali ya makafiri wasio amini. Na akisemezwa Nabii basi ndio wanasemezwa wote wanao mfuata.