قُلۡ إِنَّ ٱلَّذِينَ يَفۡتَرُونَ عَلَى ٱللَّهِ ٱلۡكَذِبَ لَا يُفۡلِحُونَ ٦٩
Qul innal-ladhīna yaftarūna 'alallāhil-kadhiba lā yuflihūn
Sema: Hao wanao mzulia uwongo Mwenyezi Mungu hawatafanikiwa. 69
Maelezo ya chini
69 Ewe Mtume! Waambie: Hao wanao mtungia Mwenyezi Mungu uwongo, na wanadai kuwa ana mwana, hawatafanikiwa milele.