ثُمَّ جَعَلۡنَٰكُمۡ خَلَٰٓئِفَ فِي ٱلۡأَرۡضِ مِنۢ بَعۡدِهِمۡ لِنَنظُرَ كَيۡفَ تَعۡمَلُونَ ١٤
Thumma ja'alnākum khalā'ifa fil-ardi mim ba'dihim linanzura kayfa ta'malūn
Kisha tukakufanyeni nyiye ndio wenye kushika mahala pao baada yao katika ardhi ili tuone jinsi mtakavyo tenda. 14
Maelezo ya chini
14 Enyi Umma wa Muhammad! Tumekujaalieni muwe makhalifa wa ardhi, mshike pahala pa walio kutangulieni, ili tukujaribuni tudhihirishe mtacho kikhiari, ut'iifu au uasi, baada ya mlivyo kwisha jua yaliyo wapata walio kutangulieni.