Surat Yasin, aya 72

36:72

وَذَلَّلۡنَٰهَا لَهُمۡ فَمِنۡهَا رَكُوبُهُمۡ وَمِنۡهَا يَأۡكُلُونَ ٧٢

Wadhallalnāhā lahum faminhā rakūbuhum waminhā ya'kulūn

Na Sisi tukawadhalilishia. Basi baadhi yao wako wanao wapanda, na baadhi yao wanawala. 72

Maelezo ya chini

72 Na hao wanyama tumewafanya wawatumikie. Wengine basi wanawapanda, na wengine wanawala.