لِّيُنذِرَ مَن كَانَ حَيّٗا وَيَحِقَّ ٱلۡقَوۡلُ عَلَى ٱلۡكَٰفِرِينَ ٧٠
Lliyundhira man kāna hayyan wayahiqqal-qawlu 'alal-kāfirīn
Ili imwonye aliye hai, na neno litimie juu ya makafiri. 70
Maelezo ya chini
70 Hii Qur'ani ni kumtia khofu mwenye moyo ulio hai ulio nawirika kwa akili. Na ipite hukumu ya adhabu kuwashukia wanao ipinga Qur'ani, wenye kukataa uwongofu wake.