Surat Yasin, aya 61

36:61

وَأَنِ ٱعۡبُدُونِيۚ هَٰذَا صِرَٰطٞ مُّسۡتَقِيمٞ ٦١

Wa ani'budūnī hādhā sirātum mustaqīm

Na ya kwamba mniabudu Mimi? Hii ndiyo Njia Iliyo Nyooka. 61

Maelezo ya chini

61 Na nyinyi mniabudu Mimi peke yangu, kwani kuniabudu Mimi tu ndiyo Njia kuu katika kusimamisha Dini sawa.