وَسَوَآءٌ عَلَيۡهِمۡ ءَأَنذَرۡتَهُمۡ أَمۡ لَمۡ تُنذِرۡهُمۡ لَا يُؤۡمِنُونَ ١٠
Wasawā'un 'alayhim a'andhartahum am lam tundhirhum lā yu'minūn
Ni sawa sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye, hawataamini. 10
Maelezo ya chini
10 Na ni sawa kwao ukiwahadharisha au ukito wahadharisha, hawaamini hao.