Surat Sad, aya 9

38:9

أَمۡ عِندَهُمۡ خَزَآئِنُ رَحۡمَةِ رَبِّكَ ٱلۡعَزِيزِ ٱلۡوَهَّابِ ٩

Am 'indahum khazā'inu rahmati rabbikal-'azīzil-wahhāb

Au wanazo wao khazina za rehema za Mola wako Mlezi, Mwenye nguvu, Mpaji? 9

Maelezo ya chini

9 Bali sisi tunawauliza hawa wanao kuhusudu: Kwani wao wanazo khazina za rehema ya Mola wako Mlezi Mwenye nguvu, Mwingi wa kutoa, hata wao wawe ndio wa kuteua nani wa kumpa Unabii kwa mujibu wa mapenzi ya nafsi zao?