Surat Sad, aya 88

38:88

وَلَتَعۡلَمُنَّ نَبَأَهُۥ بَعۡدَ حِينِۭ ٨٨

Walata'lamunna naba'ahū ba'da hīn

Na bila ya shaka mtajua khabari zake baada ya muda. 88

Maelezo ya chini

88 Na hapana shaka nyinyi, mnao ikadhibisha Qur'ani, mtakuja jua karibuni hivi ukweli uliomo ndani yake wa ahadi, na maonyo, na khabari za mambo yatakayo kuja, na Ishara za ulimwengu.