Surat Sad, aya 52

38:52

۞ وَعِندَهُمۡ قَٰصِرَٰتُ ٱلطَّرۡفِ أَتۡرَابٌ ٥٢

Wa'indahum qāsirātut-tarfi atrāb

Na pamoja nao wake zao wenye kutuliza macho, hirimu zao. 52

Maelezo ya chini

52 Na huko Peponi watakuwa na wake ambao macho yao hayawatazami ila waume zao tu, hawawaangalii wengineo, nao ni wa miaka sawa na waume zao. Kwa hivyo wameelekeana kuwafikiana.