Surat Sad, aya 46

38:46

إِنَّآ أَخۡلَصۡنَٰهُم بِخَالِصَةٖ ذِكۡرَى ٱلدَّارِ ٤٦

Innā akhlasnāhum bikhālisatin dhikrad-dār

Sisi tumewakhusisha wao kwa sifa ya ukumbusho wa Akhera. 46

Maelezo ya chini

46 Hakika Sisi tumewakhusisha wao kwa sifa, nayo ni kuwa wanaikumbuka Nyumba ya Akhera, wao wanaikumbuka nao wanakumbukwa kwayo.