إِذۡ عُرِضَ عَلَيۡهِ بِٱلۡعَشِيِّ ٱلصَّٰفِنَٰتُ ٱلۡجِيَادُ ٣١
Idh 'urida 'alayhi bil-'ashiyyis-sāfinātul-jiyād
Alipo pelekewa jioni farasi wasimamao kidete, tayari kutoka shoti; 31
Maelezo ya chini
31 Na hebu taja katika khabari za Suleiman kuwa alipelekewa alasiri farasi wa asli ambao hutulia wanapo simama, na huenda mbio wanapo kwenda.