Surat Sad, aya 14

38:14

إِن كُلٌّ إِلَّا كَذَّبَ ٱلرُّسُلَ فَحَقَّ عِقَابِ ١٤

In kullun illā kaddhabar-rusula fahaqqa 'iqāb

Hao wote waliwakadhibisha Mitume; basi wakastahiki adhabu yangu. 14

Maelezo ya chini

14 Hapana mmoja katika hao wote ila alimkadhibisha Mtume wake, na kwa hivyo ikawashukia adhabu yangu.