Surat Sad, aya 11

38:11

جُندٞ مَّا هُنَالِكَ مَهۡزُومٞ مِّنَ ٱلۡأَحۡزَابِ ١١

Jundum mā hunālika mahzūmum minal-ahzāb

Hao ni askari watao shindwa miongoni mwa makundi yatayo shindwa. 11

Maelezo ya chini

11 Hao ni askari wanyonge walio shindwa, hapana hivi wala hivi, kama walivyo shindwa mfano kama wao walio jikusanya kuwapinga Manabii.