تَبۡصِرَةٗ وَذِكۡرَىٰ لِكُلِّ عَبۡدٖ مُّنِيبٖ ٨
Tabsiratan wadhikrā likulli 'abdim munīb
Yawe haya ni kifumbua macho na ukumbusho kwa kila mja mwenye kuelekea. 8
Maelezo ya chini
8 Tumejaalia hayo aone na akumbuke kila mja mwenye kurejea kwa Mola wake Mlezi, akafikiri Ishara za uwezo wake.