Surat Qaf, aya 17

50:17

إِذۡ يَتَلَقَّى ٱلۡمُتَلَقِّيَانِ عَنِ ٱلۡيَمِينِ وَعَنِ ٱلشِّمَالِ قَعِيدٞ ١٧

Idh yatalaqqal-mutalaqqiyāni 'anil-yamīni wa'anish-shimāli qa'īd

Wanapo pokea wapokeaji wawili, wanao kaa kuliani na kushotoni. 17

Maelezo ya chini

17 Watakapo kutana Malaika wawili walinzi, mmoja anakaa kuliani, na mwingine anakaa upande wa kushoto, wakiviandika vitendo vyake.