Surat Nuh, aya 6

71:6

فَلَمۡ يَزِدۡهُمۡ دُعَآءِيٓ إِلَّا فِرَارٗا ٦

Falam yazidhum du'ā'ī illā firārā

Lakini wito wangu haukuwazidisha ila kukimbia. 6

Maelezo ya chini

6 Hawakuzidishwa na wito wangu ila kuukimbia ut'iifu wako.