إِنَّكَ إِن تَذَرۡهُمۡ يُضِلُّواْ عِبَادَكَ وَلَا يَلِدُوٓاْ إِلَّا فَاجِرٗا كَفَّارٗا ٢٧
Innaka in tadharhum yudillū 'ibādaka walā yalidū illā fājiran kaffārā
Hakika ukiwaacha watawapoteza waja wako, wala wao hawatazaa ila waovu makafiri. 27
Maelezo ya chini
27 Ewe Mola wangu Mlezi! Ukiwaacha hao bila ya kuwateketeza na kuwang'oa watawatia waja wako katika upotovu, na wao hawatozaa ila wenye kupotoka vile vile wakaiacha haki, na wakakithiri kukukanya na kukuasi.