وَمَكَرُواْ مَكۡرٗا كُبَّارٗا ٢٢
Wamakarū makran kubbārā
Na wakapanga vitimbi vikubwa. 22
Maelezo ya chini
22 Na vitimbi vya hao wenye mali mengi, na wana wengi, kwa wanyonge wanao wafuata ni vitimbi vilivyo fika ukomo kwa ukubwa.