وَٱلَّذِينَ ٱهۡتَدَوۡاْ زَادَهُمۡ هُدٗى وَءَاتَىٰهُمۡ تَقۡوَىٰهُمۡ ١٧
Walladhīnahtadaw zādahum hudan wa ātāhum taqwāhum
Na wale walio ongoka anawazidishia uongofu na anawapa uchamngu wao. 17
Maelezo ya chini
17 Na walio ongoka wakashika njia ya Haki, Mwenyezi Mungu huwazidishia uwongofu, na akawapa kinga chao cha kujikingia na Moto.