Surat Luqman, aya 24

31:24

نُمَتِّعُهُمۡ قَلِيلٗا ثُمَّ نَضۡطَرُّهُمۡ إِلَىٰ عَذَابٍ غَلِيظٖ ٢٤

Numatti'uhum qalīlan thumma nadtarruhum ilā 'adhābin ghalīz

Tunawastarehesha kwa uchache, kisha tutawasukuma kwenye adhabu ngumu. 24

Maelezo ya chini

24 Tunawastarehesha kwa muda mchache katika dunia yao, kisha tutawalazimisha kwenda kwenye adhabu kali isiyo stahimilika.