جَهَنَّمَ يَصۡلَوۡنَهَاۖ وَبِئۡسَ ٱلۡقَرَارُ ٢٩
Jahannama yaslawnahā wabi'sal-qarār
Nayo ni Jahannamu! Wataingia, Maovu yaliyoje makaazi hayo! 29
Maelezo ya chini
29 Na nyumba hiyo ndiyo Jahannamu wakiteswa kwa uvukuto wake. Na makaazi maovu mno ni Jahannamu.