Surat Ibrahim, aya 16

14:16

مِّن وَرَآئِهِۦ جَهَنَّمُ وَيُسۡقَىٰ مِن مَّآءٖ صَدِيدٖ ١٦

Mmin warā'ihī jahannamu wayusqā mim mā'in sadīd

Ambaye nyuma yake ipo Jahannamu, na atanywishwa maji ya usaha. 16

Maelezo ya chini

16 Kushindwa kwa hao madhaalimu kunatangulia hapa duniani, na baada yake Akhera ipo adhabu ya Jahannamu. Huko watanyweshwa maji yanayo kirihi kama usaha unao toka kwa watu wa Motoni!