Surat Hud, aya 121

11:121

وَقُل لِّلَّذِينَ لَا يُؤۡمِنُونَ ٱعۡمَلُواْ عَلَىٰ مَكَانَتِكُمۡ إِنَّا عَٰمِلُونَ ١٢١

Waqul lilladhīna lā yu'minūna'malū 'alā makānatikum innā 'āmilūn

Na waambie wale wasio amini: Fanyeni muwezavyo, nasi pia tunafanya. 121

Maelezo ya chini

121 Ewe Nabii! Waambie hao wanao shikilia inadi na ukafiri: Tendeni kama mnavyo weza kuupiga vita Uislamu na kuwaudhi Waumini. Sisi tunaendelea na njia yetu, na tumethibiti katika a'mali yetu.