إِلَّا ٱلَّذِينَ صَبَرُواْ وَعَمِلُواْ ٱلصَّٰلِحَٰتِ أُوْلَٰٓئِكَ لَهُم مَّغۡفِرَةٞ وَأَجۡرٞ كَبِيرٞ ١١
Illal-ladhīna sabarū wa'amilus-sālihāti ulā'ika lahum maghfiratun wa ajrun kabīr
Ila wale walio subiri wakatenda mema. Hao watapata msamaha na ujira mkubwa. 11
Maelezo ya chini
11 Na aibu hii hawaachi kuwa nayo ila wale wanao subiri wakati wa dhiki, na wakatenda mema wakati wa faraji na shida. Hawa watasamehewa dhambi zao, na watapata ujira mkubwa kwa vitendo vyao vyema.